FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo 2024

JINSI ya Kufahamu Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo, JINSI ya Kufahamu Kitambulisho Chako Cha NIDA Mkoa Kilipo, JINSI ya Kufahamu Kitambulisho Chako Cha NIDA Wiliya Kilipo,JINSI ya Kufahamu Kitambulisho Chako Cha NIDA Kata Kilipo, JINSI ya Kufahamu Kitambulisho Chako Cha NIDA Kijiji Kilipo, JINSI ya Kufahamu Kitambulisho Chako Cha NIDA Mtaa Kilipo.

FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwafahamisha wananchi kuwa vitambulisho vya Taifa vimechapishwa na kusambazwa maeneo mbalimbali.

PIA SOMA: Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Online sasa hivi.

Kadhalika, orodha ya majina ya watu wote ambao vitambulisho vyao vimechapishwa imewekwa kwenye tovuti ya Mamlaka kupitia kiunganishi.

Hivyo, mwananchi ambaye hujachukua kitambulisho chako, unaweza kufahamu kwa kupitia tovuti hii Ofisi ya serikali ya Mtaa/Kijiji ambapo kitambulisho chako kipo kwa ajili ya kukichukua.

RELATED: Play and Win with Sports betting Tanzania

Aidha, unaweza kutembelea tovuti ya Mamlaka kupitia www.nida.go.tz kisha bofya mahali palipoandikwa Kitambulisho cha Taifa ikifuatiwa na Fahamu Kitambulisho kilipo.

FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo

Baada ya hapo ukurasa unaoonyesha mikoa utafunguka, Chagua mkoa na kufuatiwa na wilaya uliyojisajili na baadae bonyeza Kata ikifuatiwa na Kijiji/Mtaa uliokuwa unaishi wakati unajisajili.

NIDA NUMBER 2024 - Pata Namba ya NIDA Online Kwa Simu Yako.

Baada ya hapo ukurasa wenye orodha ya majina na mahali Kitambulisho chako kilipo utafunguka.

RELATED: Play and Win with Online casino Tanzania

Ukiona jina lako tafadhali nenda kachukue Kitambulisho chako mahali kilipo mapema kwani baada ya mwezi mmoja kupita vitarejeshwa ofisi za NIDA za wilaya.

SOMA PIA: Download Nakala ya Kitambulisho cha NIDA online

Hivyo utalazimika kukifuata katika ofisi ya NIDA ya Wilaya uliyojisajili.

NIDA Orodha ya Majina ambao Vitambulisho vyao vipo tayari Kila Mkoa.

CHAGUA MKOA WA MAHALI ULIPO JIANDIKISHA

FAHAMU UMUHIMU WA KUWA NA KITAMBULISHO CHA TAIFA

Ewe Mwananchi, sasa unaweza kutumia Namba yako ya Utambulisho wa Taifa (NIN)/Kitambulisho cha Taifa (NIDA) kupata huduma nyingi za kijamii, kiuchumi na kiusalama :-

  • Kusajili Laini ya Simu (Sim Card Registration),
  • Kusajili Namba Maalumu ya Mlipa Kodi (TIN),
  • Kusajili Biashara/Kampuni – BRELA,
  • Kukata Hati ya Kusafiria ya Kielektroniki (E-Passport),
  • Kukata Leseni ya Udereva,
  • Kupata Huduma ya Afya,
  • Kufungua Akaunti ya Benki,
  • Kukopesheka Kirahisi kwenye Taasisi za Fedha,
  • Kujiunga na Elimu Ngazi Mbalimbali,
  • Kupata Mkopo wa Elimu ya Juu,
  • Hati Miliki ya Kiwanja, Nyumba n.k,
  • Kuomba Ajira pamoja na Huduma Nyingine Nyingi.

Jinsi ya kupata kitambulisho cha NIDA Online, Kupata copy ya kitambulisho cha NIDA, Jinsi ya kupata kitambulisho cha taifa kwa haraka, Jinsi ya kupata kitambulisho Cha NIDA Online Download.

Jinsi ya kupata namba ya NIDA kwa haraka, Namba yangu ya NIDA, Www NIDA go tz ID Number, Namba ya NIDA kwa SMS, Jinsi ya kuangalia Taarifa zangu Za NIDA, NIDA Kitambulisho, Picha ya Kitambulisho cha Taifa, Namba ya NIDA kwa sms.

Post a Comment

0 Comments